Contact

Contact GreenPath Microfinance Tanzania

Get support with loan applications, finance and ESG training, partnerships, complaints, grievances, and general enquiries across Tanzania.

GreenPath customer support officer
Support

Still Got Questions?

Get in touch. We are here to listen and support.

Send Enquiry or Complaint

Submit a request, complaint, or grievance and receive a reference for follow-up.

Open enquiry form

Call our Customer Support Team

Monday - Friday from 8 A.M. to 5 P.M.

Mobile Number: 0758586565

Chat to GreenPath Support

Speak to our friendly team about loans, training, technology, and partnerships.

info@greenpath.co.tz

Visit us

Visit our GreenPath office for guided support and application follow-up.

Dar es Salaam, Tanzania
Je, ninawezaje kuwasiliana na GreenPath?

Unaweza kuwasiliana nasi kwa njia zifuatazo:

  • Piga simu kupitia 0758586565 muda wa kazi.
  • Tuma enquiry au complaint kupitia fomu ya mtandaoni.
  • Tuma barua pepe kupitia info@greenpath.co.tz.
  • Tembelea ofisi yetu kwa msaada wa karibu.
Naweza kutuma malalamiko au grievance mtandaoni?

Ndiyo. Fungua fomu ya enquiry au complaint, jaza taarifa zako, chagua aina ya hoja, na timu yetu itafuatilia kwa utaratibu wa grievance management.

Nikituma maombi ya mkopo mtandaoni, nani atawasiliana nami?

Maombi yako yataonekana kwenye mfumo wa GreenPath. Afisa wa tawi au timu husika itakupigia ili kuthibitisha taarifa, nyaraka, na hatua inayofuata.

Ninawezaje kufuatilia application yangu?

Tumia application reference uliyopewa baada ya kutuma maombi kwenye ukurasa wa Track Loan. Unaweza pia kuwasiliana na support kupitia simu au fomu ya enquiry.

GreenPath inatoa huduma gani?

GreenPath inatoa mikopo, mafunzo, ushauri wa biashara na mazingira, teknolojia za ufuatiliaji, pamoja na huduma za kujenga uwezo kwa vikundi, taasisi, na wajasiriamali.

Naweza kuomba mkopo bila kufika ofisini kwanza?

Ndiyo, unaweza kuanza kwa kutuma maombi mtandaoni. Uhakiki wa utambulisho, uwezo wa marejesho, na nyaraka utafanyika kabla ya uamuzi wa mwisho.

Ninawezaje kupata mafunzo au kuomba partnership?

Tuma maelezo ya hitaji lako kupitia fomu ya enquiry au barua pepe ya info@greenpath.co.tz. Timu yetu itakuunganisha na kitengo sahihi.

Je, taarifa zangu zinatunzwa kwa usiri?

Ndiyo. Taarifa unazotuma hutumika kwa ajili ya uhakiki, mawasiliano, na huduma ulizoomba kulingana na taratibu za GreenPath.