Personalized Loan
Personalized Loan supports salaried and verified-income clients who need structured finance for education, rent, family priorities, investment, or other planned development needs. GreenPath assesses income, affordability, guarantor support, and acceptable security before presenting clear monthly repayment terms.
Features & Benefits
Features
- Kiasi cha mkopo kuanzia TZS 1M hadi TZS 10M kulingana na uwezo wa marejesho
- Tathmini ya awali hufanyika haraka baada ya nyaraka kukamilika
- Marejesho ya kila mwezi yanayolingana na mzunguko wa mshahara
- Inaweza kutumia udhamini wa kazi, mdhamini, au dhamana inayokubalika
Benefits
- Inasaidia kutatua mahitaji ya haraka bila kuvuruga mipango yako ya muda mrefu
- Unapata mwongozo wa tawi kuhusu kiasi kinachofaa na ratiba ya marejesho
- Mchakato wa awali wa mtandaoni hupunguza muda wa kuanza maombi
- Inaweka uwazi kwenye gharama, nyaraka, na dhamana kabla ya hatua ya mwisho
Requirements
Eligibility
- Net ya mshahara kuanzia TZS 600,000 au mdhamini anayekidhi vigezo
- Mkataba wa kazi, kitambulisho cha kazi, na barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
- Salary slip za miezi 3 na bank statement ya miezi 6 ya hivi karibuni
- Dhamana kama gari, nyumba, kiwanja, au mdhamini pale inapohitajika
- Ombi lililojazwa kikamilifu na utambulisho wa Serikali za mtaa
Documents
- Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
- Utambulisho wa Serikali za mtaa
- Picha moja ya muombaji
- Kitambulisho cha kazi
- Mkataba wa kazi (Employment Contract)
Loan Details
- Amount
- TZS 1M - TZS 10M
- Purpose
- Mahitaji mbalimbali ya kibinafsi na ya kimaendeleo kama vile kulipia kodi za nyumba, ada za shule, uwekezaji, na mahitaji mengine ya haraka.
- Term
- Sio zaidi ya miezi 12
- Repayment
- Kila mwezi
- Fees
- Ada ya kuratibu mkopo ni 3% wakati wa kuchukua mkopo