Our Loans GreenPath Loan Product

Salary Advance Loan

Short-term salary-linked financing for salaried clients who need support before the next pay cycle.

Walengwa

Nani anaweza kuomba?

Wafanyakazi wenye mshahara unaothibitika, mkataba wa kazi, na uwezo wa kurejesha kwa makato au malipo ya kila mwezi.

Viwango vya MkopoKulingana na net salary, makato yaliyopo, na tathmini
Lengo la MkopoMahitaji ya haraka kabla ya mshahara kama familia, matibabu, usafiri, ada ndogo, au dharura binafsi.
Muda wa MkopoMwezi 1 hadi miezi 6
RejeshoKila mwezi kupitia mshahara au mpango uliokubaliwa
Sifa

Salary Advance Loan gives verified salaried clients short-term support for urgent needs while keeping repayment tied to predictable salary inflows. GreenPath reviews employment, salary history, net pay, existing deductions, and affordability before approval.

  • Short-term salary-linked financing for salaried clients who need support before the next pay cycle.
  • Mahitaji ya haraka kabla ya mshahara kama familia, matibabu, usafiri, ada ndogo, au dharura binafsi.
  • Term: Mwezi 1 hadi miezi 6
  • Repayment: Kila mwezi kupitia mshahara au mpango uliokubaliwa
  • Uthibitisho wa ajira na mshahara
  • Barua ya mwajiri au salary assignment pale inapohitajika
Faida
  • Helps clients access finance without slowing down important personal or business plans
  • Designed around verified income, cash-flow, and practical repayment capacity
  • GreenPath branch teams guide applicants through documentation and next steps
  • Clear assessment before approval, acceptance, and disbursement
Vigezo na Mahitaji

Vigezo muhimu

  • Wafanyakazi wenye mshahara unaothibitika, mkataba wa kazi, na uwezo wa kurejesha kwa makato au malipo ya kila mwezi.
  • Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
  • Utambulisho wa Serikali za mtaa
  • Picha moja ya muombaji
  • Kitambulisho halali cha Taifa au kitambulisho kinachokubalika
  • Taarifa za benki kulingana na aina ya mkopo

Dhamana na gharama

  • Uthibitisho wa ajira na mshahara
  • Barua ya mwajiri au salary assignment pale inapohitajika
  • Mdhamini au nyaraka za ziada kulingana na tathmini

Viambatanisho

  • Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
  • Utambulisho wa Serikali za mtaa
  • Picha moja ya muombaji
  • Kitambulisho halali cha Taifa au kitambulisho kinachokubalika
  • Taarifa za benki kulingana na aina ya mkopo
  • Picha au nyaraka za dhamana pale zinapohitajika
  • Salary slip za miezi 3 ya hivi karibuni
  • Bank statement ya miezi 3 hadi 6
  • Mkataba wa kazi au barua ya mwajiri
  • Kitambulisho cha kazi
Maswali

Maswali kuhusu Salary Advance Loan

Nani anaweza kuomba Salary Advance Loan?

Wafanyakazi wenye mshahara unaothibitika, mkataba wa kazi, na uwezo wa kurejesha kwa makato au malipo ya kila mwezi.

Kiasi cha mkopo huamuliwaje?

Kulingana na net salary, makato yaliyopo, na tathmini

Nyaraka gani zinahitajika?

Nyaraka hutegemea aina ya mkopo, lakini utambulisho, uthibitisho wa kipato, na nyaraka za matumizi ya mkopo ni muhimu.

Ready to apply?

Anza maombi ya Salary Advance Loan sasa.

Jaza fomu fupi ya mtandaoni kwa taarifa zako na kiasi unachohitaji. Timu ya GreenPath itawasiliana nawe kuthibitisha nyaraka, kutathmini uwezo wa marejesho, na kukuongoza katika hatua zinazofuata.

Anza maombi